suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 196
nipo, afu una deni langu ujue..
Tatizo wewe nawe hueleweki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nipo, afu una deni langu ujue..
sieleweki kiaje?
sema wiki mbili hizi zilizopita nilikuwa busy sana, leo basi..
Hivi humu bado watu wanatongozana?
Hakuishi hata
Hakuishi hata
anyone here tutotongozane!!!!
majaribu yasije anzia hapahapa..bora kukaa mbalia tii
Will the real Nyani Ngabu please stand up :becky:
Hujambo? Ndiyo maana huonekani kumbe umejichimbia huku?
Duhhh!!!!
Ahhha sijambo kabisa mzima ww me nimejaa tele kama pish la mchele
Mie mzima kabisa. Unatongozwa na nani?
Haya nitakutongoza mwenyewe jioni maana bila kunywa nina aibu.
Ahhha umenichekesha wewe haya nakusubiri kwa ham jioni😉😉😛
Atafutae hakosi, aongejae hukosa..
Bibi jiangalieeee????!Yani ndoa yako ndio kwanza changa unataka tena kutongozwa?mhhhh?????
Nani kaniwowa mjukuu??? Sijaolewa bado