jaman natangaza nahitaj rafiki wa kike aka mchumba ila naogopa kutongoza nipo single
Wewe... hebu njoo PM asap.... kuna jambo la kifamilia.
pamoja na uvumilivu, lazma uelewe kuwa kila mtu katika hii dunia anachoka haswa kwenye
swala la kusubiri, sasa yeye tokea jana yuko hapa anasubia asikie jibu lako
na akukabidhi rasmi moyo wake
uburudike pamoja naye hivi.
Penzi la kweli liko kwake, yote haya aliyasema mwenyewe jana hapa...
msalimie sana baba yako aisee nimeona amekualika PM
Uko ntaenda badae
yeleuwiii kumbe we ni mwezi..... uwiii
mbona unang'ang'ania kumsaidia kwani yeye ana macho, midomo ya kujisemea mwenyewe hapa
shem sitaki kuendelea kuongea hapa pls niache kivyanguvyangu
wakuu kuna mdada anaitwa Chammylady namzimikia sana ila sijui pa kumpata
Shikamoo Kaka......
asante sana kwa matunzo na upendo wako uliouonyesha kipindi naumwa.....nakupenda sana kaka angu
uko tayari kuishi na mtu mwenye mipango, asiyetabirika?
kuwa na adabu usilete kompee charminglady ni mke wangu aseeee. usinileteee izo mambo aseeeeee