Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

siwezi kuwa na watu wawili bestito
naomba unisamehe bure ntashindwa kuwahudumia
pamoja na uvumilivu, lazma uelewe kuwa kila mtu katika hii dunia anachoka haswa kwenye
swala la kusubiri, sasa yeye tokea jana yuko hapa anasubia asikie jibu lako
na akukabidhi rasmi moyo wake
uburudike pamoja naye hivi.

Penzi la kweli liko kwake, yote haya aliyasema mwenyewe jana hapa...
 
wewe unakiukaaa...hakuna mtongozano wa kwenye PM hapa,
halafu usipaniki sana hapa kila kitu kinawezekana.

uwe na maridhiano na C6 kwanza ndiyo anakula huo mzigo...

huyu Marire mbona hana maadili
 
Last edited by a moderator:
mbona unang'ang'ania kumsaidia kwani yeye ana macho, midomo ya kujisemea mwenyewe hapa
shem sitaki kuendelea kuongea hapa pls niache kivyanguvyangu

mamii!!

calm down please! why are you like this? this is our world!!

enjoy nice moments when you get them!

387.jpg


please be my valentine!!

please!!
 
Back
Top Bottom