Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Huyu ephen_ mtu muhimu sana 😎😍Mzee unasikia hayo? mkigombana nunua zawadi. Haya maua hayahitaji hasira!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ephen_ mtu muhimu sana 😎😍Mzee unasikia hayo? mkigombana nunua zawadi. Haya maua hayahitaji hasira!!
Ushaambiwa the tinder lazima hiyo si umeona mwenyewe kasepaIna mizagamuano?
Oh! mbaya hiyo...Ubwabwa mimi wa nini? Kwanza ngoja nimpotezee anatafuta kiki ya kutrend 🗑️
Sio kama hivyo unavyofikiria bhanaDeal done!!
😹😹😹 Mkeo kaenda wapi?Oh! mbaya hiyo...
BTW twende pamoja sina mambo ya kiwaki,
Je, uko tayari kuchukua nafasi ya mke wangu niliyempenda sana Shansarie?
Najua sana kupenda mimi, yaani hapa tutakuwa roll model wa vijana wengi kama kina @Ephen na Vincenzo Jr .
Eti ephen_ nikupe Nini ?Muahidi basi kumtumza na kumpa kila anachotaka
😁🤣🤣Sio kama hivyo unavyofikiria bhana
Moyo wangu una pango moja lenye kila kitu bibie. Naona unastaili kabisa kuwako huko.😹😹😹 sema kweli?
Uniteke ukanifiche wapi?
Cha peke yako ni kaburi tu😹😹😹 Mkeo kaenda wapi?
Mimi na waume za watu hapana!!
Tahadhari kaka hapo kuwa makini Sana usije jichanganya hapoCc and 100 othersOh! mbaya hiyo...
BTW twende pamoja sina mambo ya kiwaki,
Je, uko tayari kuchukua nafasi ya mke wangu niliyempenda sana Shansarie?
Najua sana kupenda mimi, yaani hapa tutakuwa roll model wa vijana wengi kama kina @Ephen na Vincenzo Jr .
😹😹😹 pango tena??Moyo wangu una pango moja lenye kila kitu bibie. Naona unastaili kabisa kuwako huko.
Kwasasa nafasi ni yako. yakwako tu laazizi
Usiogope Kisu changu ni kikali sana.Tahadhari kaka hapo kuwa makini Sana usije jichanganya hapoCc and 100 others
😹😹😹 sema kweli?Cha peke yako ni kaburi tu