Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Ubwabwa mimi wa nini? Kwanza ngoja nimpotezee anatafuta kiki ya kutrend ๐Ÿ—‘๏ธ
Oh! mbaya hiyo...
BTW twende pamoja sina mambo ya kiwaki,
Je, uko tayari kuchukua nafasi ya mke wangu niliyempenda sana Shansarie?

Najua sana kupenda mimi, yaani hapa tutakuwa roll model wa vijana wengi kama kina @Ephen na Vincenzo Jr .
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Mkeo kaenda wapi?
Mimi na waume za watu hapana!!
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น sema kweli?
Uniteke ukanifiche wapi?
Moyo wangu una pango moja lenye kila kitu bibie. Naona unastaili kabisa kuwako huko.
Kwasasa nafasi ni yako. yakwako tu laazizi
 
Rasmi kwa mara ya kwanza naingia kwenye huu uzi kukamata lishangazi baada ya manzi angu kunipiga kibuti after I proposed...... Oyaaa kuna shangazi hapa nimpe mistari ya "you know baby, you know me?"
 
Moyo wangu una pango moja lenye kila kitu bibie. Naona unastaili kabisa kuwako huko.
Kwasasa nafasi ni yako. yakwako tu laazizi
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น pango tena??
Ninavyojua mapangoni hazikosekanagi nyoka kali si zitaningโ€™ata sasa??!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ