Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Ulimpa mtu elfu 3 sijui, mlivyogombana alikukoma
Unataka niseme unipe kitu siku tumecharuana maji niite m'ma? AkuuuπŸ™ŒπŸ™„
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Usijifananishe na mtu mrembo wake Vin.
Unajua uko unique!! Huyu kijana sio wakulilia buku 3
 
Ulimpa mtu elfu 3 sijui, mlivyogombana alikukoma
Unataka niseme unipe kitu siku tumecharuana maji niite m'ma? AkuuuπŸ™ŒπŸ™„
Nani huyo πŸ˜‚πŸ˜ Jamani au the tinder πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜
 
Tumeshaachana, baada ya kukubaliana pande zote mbili.
Yeye alivyoniona nimekuwa tajiri akaamua kuachana na mimi eti.
Anasema pesa zangu zitampelekesha
Uongo huo 😹😹😹
Wanawake na pesa ni ndugu wa baba moja.!!
Weka sababu za kueleweka eti kaka 511 unamuelewa huyu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…