Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kiki ni Lamo nikiingia uzi wowote lazima udamshi machawa wangu wako nyuma..
Huyo mi simpi kiki nataka yy ndo aendelee kunipaisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa had baas, kazi mnayooo.
Wake wenza unao na unatambaa nao, afu sio shida zenu. Lol
 
nilijua utaniogopa ila mimi ndo nmeanza kukuogopa sasa,,hata hutishiki
Alwatani mimi natishikaje?
Turudi kwenye lengo.

Mimi nimekuelewa, njoo ule raha alizozikataa Lamomy
Kwa kifupi tunishasema tena pale juu.
Nilikuwa na mke wangu huku.
Kila mtu alikuwa anatujua sasa nikawa tajiri mke akaogopa, tukakaa mbale zote mbili tukakubaliana kuachana.

Sasa huwezi kunitapeli hadi ziishe.
 
Mimi naweka sumu kwenye chakula aseee,,mda wa kukutapeli sina kabisa,je upo tayar?
 
Mr Handsome!! Mbona tulipatana bila kuingia humu? Em fanya ukuje hapa tupatane upyaa!!

Ukija hapa ndo ntakukubali turudianee, ila kule tsup nehiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguu kumekucha wewe na Mr handsome wako 🀣🀣🀣
Aje hapa akuombe msamaha hadharani mashahidi tuone.!!
 
Mimi naweka sumu kwenye chakula aseee,,mda wa kukutapeli sina kabisa,je upo tayar?
 
Mchukue huyo tunatoka sehemu moja anafaa kabisaa ariririiiiiiiiiiiiii shem ninaye 😹😹😹
 
18 people are here
Ebu kwanza nianze kusoma page ya kwanza ya huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…