Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

nilikukataa umeamua unitusi sio
Dah c n ww kila siku kunipigia simu kunitaka sasa Mm nmekukataa vp, em ngoja nikupige kiblock ili ukinipgia uongee na huduma kwa wateja ๐Ÿ˜
 
Mpenz,niwe mkweli...wanaume karibu wote nimemeet nao kutoka jf ni watu wastaarabu Sana...yaan Sana..... Sijui kuhusu kwa bed huenda wastaarabu vivyohivyo kitu ambacho kingeniboa Sana.But thanks much kwa mwanzilishi wa jf ...hakika nimejifunza mengi
Umeanza mambo yako ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Mpenz,niwe mkweli...wanaume karibu wote nimemeet nao kutoka jf ni watu wastaarabu Sana...yaan Sana..... Sijui kuhusu kwa bed huenda wastaarabu vivyohivyo kitu ambacho kingeniboa Sana.But thanks much kwa mwanzilishi wa jf ...hakika nimejifunza mengi
Bado mimi sasa.
Nina ustaarabu hadi utosini.
 
Back
Top Bottom