mshamba_mwingine
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 1,057
- 4,145
maneno mengi ya nini mimi nakutaka bwanaPesa zinapita ila jitahidi zipitie mikononi mwako.!!
Hiko sio kigezo mi nataka unishawishi nishawishike ili nikukubali wale waliosema mi mgumu wajionee.!! 😂😂😂
Si umeniita unitongoze? Haya endelea kushusha verse.!! Nipo mwingi leo