Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe sasa hapo uelewi nini...?Unamiliki kama dada au mpenzi?
teh teh teh... binamutz mimi ni miongoni wanawatoa kucha, sasa jiangalie vyema...
nakusoma.. Honey Faith njoo hapa...!We inabidi uchonge na kabanga...
nakusoma.. Honey Faith njoo hapa...!
Afu hny ndiyo imeamua kinidanganya? Nasubiria ujue...
Karibu kwetu
Ok...msalimie sana.
asante kamamana hela ya pombe muhimu sana chakula si sana ila nyama muhimu
Ushapata usijali nakuandalia utakavyo
Wanawake wanaonizimikia humu wote huu ndo uwanja wenu wa kutoa kilicho mioyoni mwenu,nakaribisha kutongozwa kuanzia sasa.
Vigezo: 18+.Uwe unamiliki mkoko wa maana eg Vogue,Prado,Hummer,etc.Uwe na nyumba nzuri(Ghorofa is added advantage).Account yako isiwe na chini ya milioni 300.Uwe na mzigo(makalio) makubwa kama ya Snura au zaidi.Uwe tayari kunipa papuchi kila napojisikia.
Wahi sasa nafasi ni chache....!!!!!
#Vigezo na masharti kuzingatiwa#
Ila ngano inanenepesha shauri yako nyama gani wataka ngombe mbuzi mdudu au kuku