mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si upo single mdada halafu nyie mpo weng ujue ndo maana upo plan b je ungekuwa plan z
Ha ha haaa mbavu zangu miee
Safi sana ..naona una mpango mzuri, mwisho wa siku unajikuta unawachumba 10.
Jana aliniambia leo atakuwa chuo, so mngojee atakuja tu!!
Coz anakupenda sana Price
kumbe yupo chuo nishaghail ctak yaliyonikuta mwanzo na mwanafunz ya chuo yajirudie tena
Mmmh! hakika! napendwa na nani tena
kwahyo namimi naruhusiwa kutongoza ama ?
Wewe unaruhusiwa kunitongoza mimi tu.
Ukitaka kupiga juu kwa juu sawa ila kumchukua mazima mazima itakucost
Njoo kwangu mi form 4 leaver
Kwani wote waliopo vyuoni ni wanafunzi mkuu, we unadhani Price ni mwanachuo?
Hapana, anafanya kazi.
Si umenielewa?
Haya sasa endelea kumpenda.
kwahyo namimi naruhusiwa kutongoza ama ?