Price nashndwa cha kusema cjui Niku pm ndo ujue nakupenda sana nikinywa maji nakuona kwa glass usiku silali nakuwaza ww tu first tym kukuona jf moyo ulinidunda kama kitenesi kipya nikifumba macho naona unaniita pia mimi meneja was m-pesa ni hayo tu nakupenda sana
Hahahaaaaaaaaaa,kijana nan kakufundisha huu mtongozo?
kuku na mbuzi ya kuchoma loh!!!!!!!!!!! kunenepa kwa siku moja amna baada ya hapo maji mengi na green tea inahusika mwili unakaa napo taka
Ha ha ha binamutuz unataka kunifanya plan b hapana haiwezekani
Kuwa na amani mpenzi wangu..trust me as the way i trust u
Kwani kunashida gani Valentina kijana kapenda acha ajilie kwa raha zake
he he jamani mtongozo oyeee
he he jamani mtongozo oyeee
Poapoa karibu