Kinaendelea nini hapa?
Hujaniota?
Lahaulaaaaa....!! mbona haya ni matusi walah
Mwaaaaa Nimemuacha simtaki tena bby....
Moto wa Mapenzi umeniwaka moyoni....
Nakupenda kwa moyo wangu wote!
View attachment 133367
Kinaendelea nini hapa?
Ushindwe na ukakamae sehem zako!
ahsante mpenzi, tena nimeona kuna watu wanakumezea mezea mate. nitawaufoo saro.... ooohoo.