Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,313
- 2,646
hii sread imenishtua usingizini nilikuwa nimelala kiwatengu unasema...?Mistari yako tu mkuu..hakuna lisiloshindika hapa..
Huyo Evelyn Salt alikuwa na ndoa aliolewa na Slave sina uhakika kama wameshaachana au la...
wewe jaribu kurusha vocal kwa huyu mrembo Preta
Unaweza kujibebea..
Good lucky mkuu.
Last edited by a moderator: