Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
M natafta wa kuweka ndan jaman
Ooh jamani...mamboz
wife wangu mambo yakoje,
Mmmh mbona naona kama wengi wako covered au macho yangu yana makengeza any one who is Iddle come kipande hii kwenye kona tulonge
Can you help me to point some one maana mm sioni heb taja hata jina nimsake maana vizuri vyatafuta ati!Macho yako yana matege aise,ebu jitahidi kuangalia vizuri jamani
Wewe ni Ke au Me tuanzie hapo kwanzaSie tusiojua couple ni nini mbona mwaka wetu huu... Msaada jinsi ya kutengeneza iyo couple humu JF
Wewe ni Ke au Me tuanzie hapo kwanza
Si unajua majina na avata vinaweza visiwe halisi na mtu mwenyewe ngoja nifanye assignment uliyonipaHauko familiar na majina haya nini? Ebu find for urself kwanza... Nenda hata kwa profile yangu
Sawa baba paroko nakuja parokiani....maana watu8 na mentor nahis wapo occupied
Can you help me to point some one maana mm sioni heb taja hata jina nimsake maana vizuri vyatafuta ati!