Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Can you help me to point some one maana mm sioni heb taja hata jina nimsake maana vizuri vyatafuta ati!

Mkuu hapa ni papana sana, hebu jaribu kucheki huwezi kosa.🙂 hebu angalia hata kwenye majukwaa mengine, afu ukipata mtu mlete hapa...
 
Ngoja niingie msituni na AK47 najua nitampata nitakuja kuwasilisha maana waswahili wanasema ukiona mwenzako analia ungana naye then utajua baadaye sababu ya kulia kwake kuliko kuanza kuuliza sabab maswali ambayo yatamuongezea uchungu
 
Fanya hivyo mkuu..mapenzi matamu sana
 
Back
Top Bottom