Kafanyani tena
Ntakwambia kosa lake ngoja hasira ziishe nikusimulie vizuri
Kwa nini wakupasue kifua kwa hasira my daughter, we onesha mimi huyo mtu nipate tiketi ya kurudi lupango, ala katoto kenyewe kamoja afu wakupe stress bado mbiiichi... ntavunja mtu nyusi mie.
Enhee..alikutongoza pia
Kwa nini wakupasue kifua kwa hasira my daughter, we onesha mimi huyo mtu nipate tiketi ya kurudi lupango, ala katoto kenyewe kamoja afu wakupe stress bado mbiiichi... ntavunja mtu nyusi mie.
hahahahaha
Na wewe wenzako wananipepelea wapate wifi na wewe unataka kuharbu kwani ww hautaki wifi?Mmmmmmhh!!!! We umejuaje kama yuko vizuri kila idara??
Hapana mkuu huyo amegeuza kibao yeye ndo amenitongoza nikamkatalia kuwa wewe ni mke wa mtu,na anaona ninavyorusha makombola kwa Bantu lady anatamani awe yeye ndo maana amenichukia saizi ananitangazia ubaya ili nimkose huyu mrembo sijui yeye anapenda niendelee kuwa single?Enhee..alikutongoza pia
Mwambie tu mona unaogopa tena,unanichukia bureeee mtoto wa watuNtakwambia kosa lake ngoja hasira ziishe nikusimulie vizuri
Jamani mimi nimefanyaje? unataka kuniuzia kesi baada ya kushindwa kutimiza malengo yako jamani mnyonge mnyongeni lakin haki yake mpeni duh!
Hapana mkuu huyo amegeuza kibao yeye ndo amenitongoza nikamkatalia kuwa wewe ni mke wa mtu,na anaona ninavyorusha makombola kwa Bantu lady anatamani awe yeye ndo maana amenichukia saizi ananitangazia ubaya ili nimkose huyu mrembo sijui yeye anapenda niendelee kuwa single?
Wewe mwenyewe umenifuata wakati namsubiri Bantu lady akitoka kisimani kuchota maji ukaanza kunichokozaWeeeeh! Unakana saivi kwani pale chini ya mwembe ulikua unaniambiaje
Wewe mwenyewe umenifuata wakati namsubiri Bantu lady akitoka kisimani kuchota maji ukaanza kunichokoza
Unanichukia nimekufanyia nini? wewe si tayari uko occupied jamani acha na mimi nipate barafu wa moyo,nitakapo pata joato aje anipepee..... kwa maneno matamu maana sauti yake si mchezo jicho akikuangalia utafikiri anakuita akitembea kwa madido unaweza ukasahau safari zako ukawa unamfuata ana umbo la kibantu wala hatumii mkorogo rangi yake ya asili pls Bantu lady come thisi way I need you plzzzzzzz!
Mkubalie tu mi namfahamu huyo yuko vizuri kila idara
Aaah! kumbe mlaini hivyo yaani sound ya kuhack account imekuingia.....hahahahaaa