Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

bebi acha utani, kumbuka tulipotoka lakini kabla ya huyu jamaa anaitwa Mwanyasi.....


hapo unakosea kabisaa.....ushawahi kusikia papuchi inapata moto ikipigwa sawa sawa... njoo ujaribu uone hakuna kulala...!

Koma weeee uniache na Mme wangu tule raha we utanipa kinyaa tu!
 
Last edited by a moderator:
Mitongozo mingine nuksiii
wewe hii ni baraka na bahati kutongozwa na mimi....
Huyo babu nankusea timing, haujui hata kuomba... Kama vp aulize tumpe mbinu au limbwata ikibidi..
huna mbinu za kunipa wewe Menthry namaliza mwenye hii mechi... au janeth1?
Wabishiiiiii......
ubishi ndio akili, usipokuwa mbishi huwezi kusonga kwa chochote....unabisha bebi...!?
Unyimwe mara mbili....
kwani umeninyima au ndio kusema nini....? sikubali kiwatengu msikie huyu anavyoipiga teke bahati....
Unions watu wabishi ujue panalipa hapo...
hajui hapa ndio penyewe....
Nampimia tu kwanza hajiwezi kwa lolote....
usijaribu kunipimia, najiweza kwa kila upande....jaribisha ikiwa hujanasa....!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom