janeth1
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,151
- 768
Heheee mitongozo inazidi kasi....
Mwenzangu watu wanavamia tu saizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heheee mitongozo inazidi kasi....
bebi acha utani, kumbuka tulipotoka lakini kabla ya huyu jamaa anaitwa Mwanyasi.....
hapo unakosea kabisaa.....ushawahi kusikia papuchi inapata moto ikipigwa sawa sawa... njoo ujaribu uone hakuna kulala...!
Mwenzangu watu wanavamia tu saizi.
nakusisitizia... usije ukajuta...!
kwani wewe ulinipa pole ya nini bebi...?
Koma weeee uniache na Mme wangu tule raha we utanipa kinyaa tu!
Unakataa kuitwa babu kati we ni babu.
Asante sana mkwe....ntakuja nichukue mwenyewe niwasalimie na wajukuu
Nakula raha na baby wangu kujuta ni ndoto tena za mchana.
Ni raha jamani kutongozwa!!!!
Mitongozo mingine nuksiii
Wambie wakome
mimi sio babu, unataka kuninyima....?
Wabishiiiiii......
Huyo babu nankusea timing, haujui hata kuomba... Kama vp aulize tumpe mbinu au limbwata ikibidi..
Wabishiiiiii......
Unions watu wabishi ujue panalipa hapo...
Kuchoshana tu kwingine best.
wewe hii ni baraka na bahati kutongozwa na mimi....Mitongozo mingine nuksiii
huna mbinu za kunipa wewe Menthry namaliza mwenye hii mechi... au janeth1?Huyo babu nankusea timing, haujui hata kuomba... Kama vp aulize tumpe mbinu au limbwata ikibidi..
ubishi ndio akili, usipokuwa mbishi huwezi kusonga kwa chochote....unabisha bebi...!?Wabishiiiiii......
kwani umeninyima au ndio kusema nini....? sikubali kiwatengu msikie huyu anavyoipiga teke bahati....Unyimwe mara mbili....
hajui hapa ndio penyewe....Unions watu wabishi ujue panalipa hapo...
usijaribu kunipimia, najiweza kwa kila upande....jaribisha ikiwa hujanasa....!Nampimia tu kwanza hajiwezi kwa lolote....
Ni raha jamani kutongozwa!!!!