Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

what happen!?...

sijaelewa nini shida kaka, mimi huwa lazima nimuone sweetlove miss neddy kila ninapo log in, sasa nashangaa kuona status banned, kufuatilia quotes naona kuna post kama 20 zimefutwa.. i think kuna majibizano yaliyovunja sheria za JF... namsubiri kwa hamu aje..
 
Last edited by a moderator:

Aisee mi mwenyewe nlisikitika sana wifi yangu alivyo mpole vile daah sijui alikosa nini.... Ila ni post ile ya interview
 
daaah mi sioni bana, waliniibia computer bana..
hapa sasa ni mwendo wa mchina kuingia jf
 
Last edited by a moderator:
Aisee mi mwenyewe nlisikitika sana wifi yangu alivyo mpole vile daah sijui alikosa nini.... Ila ni post ile ya interview

oh! nshakumbuka kuna madubuwasha yalileta usiku kwenye ule uzi..
ngoja aje! ni mmoja mmoja
 
Back
Top Bottom