Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hah kumbe avatar za humu CIO fake kama yko??na huo mbichwa wko nimekupenda ghafla kumbe ndo ulivyo!![emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hiyo avatar yangu kuna rafiki yangu aliniambiaga nitabasamu ili anichore, alinichora akanitoa kama nilivyo nikaipenda sana hii picha ndo kisa cha kuiweka kwenye avatar yangu
 
Liongo kwendraaaaa hpo ndo umetabasamu au unacheka [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] afu kumbe we ni muhenga kwa huo mface!![emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Wanajamvi
humu ndani nimeona watu wanawindana sana wanazunguka pori ndeefuu!
leo kila mtu amfungukie anaemzimia kiukweli.
kama me mfungukie ke kwa saundi zako zote akulewe.
kama we ke mfungukie me kwa hisia zote usizifiche!
kumbuka zama za ukweli na uwazi huu usikute nyota zimeendana ila una'ngaa sharubu hapa hadi uje uone anatuma picha za SEND OFF au KITCHEN PARTY!
Toa dukuduku lako hapa mweleze kinagaubaga unamvyomzikia huenda mkafungua kurasa mpya.
Kazi kwenu
mi tarudi kwa nitaekuta hana anaemzikia tamshushia nondo huyo
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Finally na wanawake tumekumbukwa ..asee kuna mbaba(nahisi ni mbaba mkubwa kanizidi sana) kule jukwaa la TECH,GADGET&SCIENCE FORUM nampenda kinoumer

Sijui ni IT yule...yani matatizo yangu yooote ya PC,apps nazohitaji,simu nimeyatatua kwake
Nahisi huyu mbaba tuna same interests japo anaonekana yupo serious sana ila he's exactly my type
Afu nahisi hana kitambi wala w0 w0 w0

Much respect to you babaa Chief-Mkwawa
 
Ndo nn hii baby
 
Siku nlipoona Mkurugenzi analog in JF ndio nkakaa sawa humu kuna watu wazito sana. Ukijimix Mara paaaaaap unaaibika
 
Finally na wanawake tumekumbukwa ..asee kuna mbaba(nahisi ni mbaba mkubwa kanizidi sana) kule jukwaa la TECH,GADGET&SCIENCE FORUM nampenda kinoumer

Sijui ni IT yule...yani matatizo yangu yooote ya PC,apps nazohitaji,simu nimeyatatua kwake
Nahisi huyu mbaba tuna same interests japo anaonekana yupo serious sana ila he's exactly my type
Afu nahisi hana kitambi wala w0 w0 w0

Much respect to you babaa Chief-Mkwawa
Hahahaa hana wowowo eeh? Kwani wanaume wanayo hayo makitu?
 
Wanajamvi
humu ndani nimeona watu wanawindana sana wanazunguka pori ndeefuu!
leo kila mtu amfungukie anaemzimia kiukweli.
kama me mfungukie ke kwa saundi zako zote akulewe.
kama we ke mfungukie me kwa hisia zote usizifiche!
kumbuka zama za ukweli na uwazi huu usikute nyota zimeendana ila una'ngaa sharubu hapa hadi uje uone anatuma picha za SEND OFF au KITCHEN PARTY!
Toa dukuduku lako hapa mweleze kinagaubaga unamvyomzikia huenda mkafungua kurasa mpya.
Kazi kwenu
mi tarudi kwa nitaekuta hana anaemzikia tamshushia nondo huyo
Zama za ukweli na uwaz ila serikali.imejitoa kwenye mambo ya UWAZI yaani OGP
 
Back
Top Bottom