Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Hiyo avatar yangu kuna rafiki yangu aliniambiaga nitabasamu ili anichore, alinichora akanitoa kama nilivyo nikaipenda sana hii picha ndo kisa cha kuiweka kwenye avatar yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hah kumbe avatar za humu CIO fake kama yko??na huo mbichwa wko nimekupenda ghafla kumbe ndo ulivyo!![emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]