Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Ubwabwa mimi wa nini? Kwanza ngoja nimpotezee anatafuta kiki ya kutrend 🗑️
Oh! mbaya hiyo...
BTW twende pamoja sina mambo ya kiwaki,
Je, uko tayari kuchukua nafasi ya mke wangu niliyempenda sana Shansarie?

Najua sana kupenda mimi, yaani hapa tutakuwa roll model wa vijana wengi kama kina @Ephen na Vincenzo Jr .
 
😹😹😹 Mkeo kaenda wapi?
Mimi na waume za watu hapana!!
 
Rasmi kwa mara ya kwanza naingia kwenye huu uzi kukamata lishangazi baada ya manzi angu kunipiga kibuti after I proposed...... Oyaaa kuna shangazi hapa nimpe mistari ya "you know baby, you know me?"
 
Moyo wangu una pango moja lenye kila kitu bibie. Naona unastaili kabisa kuwako huko.
Kwasasa nafasi ni yako. yakwako tu laazizi
😹😹😹 pango tena??
Ninavyojua mapangoni hazikosekanagi nyoka kali si zitaning’ata sasa??!!
 
Back
Top Bottom