Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Tumeshaachana, baada ya kukubaliana pande zote mbili.
Yeye alivyoniona nimekuwa tajiri akaamua kuachana na mimi eti.
Anasema pesa zangu zitampelekesha
Uongo huo 😹😹😹
Wanawake na pesa ni ndugu wa baba moja.!!
Weka sababu za kueleweka eti kaka 511 unamuelewa huyu??
 
Back
Top Bottom