kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣😁😁😁Hivi ukitukanwa utasema watu wabaya?😂
kweli humpendi kaka ako weweAcha uongo wako hapa
Mkubalie brother huyo
Ba tamu aliongea tukiwa tunazungumza jambo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umekumbuka nini?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😘😂😂😂Ukilewa usichat mkwe!😂
Huyo lazima tukamfundishe kula ndosa na kunywa ulanzi 🤣🤣🤣Hahahaha 😂 😂 nmechekaaaa,,, ngoja nikasachi mifuko kwanza
Upo EngBa tamu aliongea tukiwa tunazungumza jambo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akhiiii nimechekaa hatareee, Lol
Kweli bwan,,nmetafutwa na msukuma apa,kakosea namba lakin kasema sauti imemvutia ananitakaDawa gani!!!?
Dawa yangu kubwa ni penzi.Nikubali haraka haraka.
Halafu nina bahati sana nimeanza mimi ona mitongozo itakayokushukia.
Muulize Lamomy
😂😂😂 Humu tu kbbkeBa tamu aliongea tukiwa tunazungumza jambo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akhiiii nimechekaa hatareee, Lol
Watoto wazur wapoHizi sasa fujo 🤣🤣🤣🤣
ntampikia kisuge cha maharage na viazi😂😂Huyo lazima tukamfundishe kula ndosa na kunywa ulanzi 🤣🤣🤣
🙆🙆🙆🙆🙆😂😂😂 Humu tu kbbke
Itakuwa ulikuwa muda anakupelekea fire
😂😂😂 KwenderSi ndiooooo 😂
We mpe haondoki nayokweli humpendi kaka ako wewe
🤣🤣🤣🤣 mshenzi kweli wewe!!Watoto wazur wapo
Awaache wabibi walee wajukuu