Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Jamani nani kafukua makaburi? Odo Lamomy hakuna cha shemeji hapo. Enzi hizo chitchat ya moto 🔥 kila mtu na babe wake wa uongo na kweli... 😂😂😂😂 nilikuwa na mababies naringa, atakayeniudhi namtafutia mume mwenza 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
😂😂😂 Nimeshtuka sijawahi kuuona huu uzi nilivyoona jina lako nikacheka.!!
Nikasema kumbe wahenga mlikuwa na hekaheka na nyie.!!
 
Back
Top Bottom