Nyamwi255
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 4,848
- 12,776
Tulale sweetheart nakupenda eeh...Sasa ndio mambo gani umeblock pm ako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulale sweetheart nakupenda eeh...Sasa ndio mambo gani umeblock pm ako
Okay okay Eng coca[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwe serious or not, sio shida sana, muhimu mie niko serious inatoshaaa.
Hapana, uanze wewe maana wewe ndio MTU maarufu hapaIanze na wewe mwenyewe
Oooh sorry babyNanyonyesha n
Daaah ila mpenzi wangu hivi unajua navyo kupenda lkn🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unanisingizia bwana!!
Nmemuambia bro shemeji yake ana msalimia babe wewe ni wangu tuuBabe mambo gani tena haya🤣🤣🤣
Mkwe! Saa 1 uwe hapa, nina jambo na wewe saa 3 usikuHapana, uanze wewe maana wewe ndio MTU maarufu hapa
Labda niwabemende waoOooh sorry baby
Hongera kupata mtoto
Tulia tuu ndani hawa wahuni wasim-bemende mtoto
Sijui kwakweli, maana wewe unatupenda msururu.Daaah ila mpenzi wangu hivi unajua navyo kupenda lkn
Ukiniacha nakuloga.Nmemuambia bro shemeji yake ana msalimia babe wewe ni wangu tuu
Sina mpango wa kukuacha
Leo naja...
😂😂😂 Nimeshtuka sijawahi kuuona huu uzi nilivyoona jina lako nikacheka.!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Jamani nani kafukua makaburi? Odo Lamomy hakuna cha shemeji hapo. Enzi hizo chitchat ya moto 🔥 kila mtu na babe wake wa uongo na kweli... 😂😂😂😂 nilikuwa na mababies naringa, atakayeniudhi namtafutia mume mwenza 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
JamaniMkwe! Saa 1 uwe hapa, nina jambo na wewe saa 3 usiku
Babe kama babe ila kumbe ulimwacha mwenzangu, you mean na mimi siku ntaachwa pia?😢Anyway mkimwona Valentina hapa mwambieni nishaachana nae.
Kwa sasa niko na tulizo la moyo wangu financial services 😍😍😍
Mimi pia ni kabibi mkuu🙆♂️
Here I am!
No baby! huyo ndio aliniacha mimiBabe kama babe ila kumbe ulimwacha mwenzangu, you mean na mimi siku ntaachwa pia?😢