Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Nataka nikunyooshe uache shobo na wanawake wa humu.

Una shoboka sana na pisi za humu... Halafu huna kila kitu unabaki kujikuta mh dc wa mchongo... Kuna siku utajikuta January Makamba...

Acha shobo na pisi za watu... Utapakwa mafuta...
Wewe unaota aisee😂
Kabisa unawaza unaweza kuninyoosha?? Labda unipe nikuzibue hiyo washeli😂

Sio najikuta, mm ni master, tapeli, dalali alafu mjanja mjanja sana. Sio najikuta January makamba tu hadi majaliwa , huko tiktok nasepa na Kijiji kila siku na nawazibua kwerikweriii. Wananiita mwamposa
Wewe utakua ulikua hujanijua vizuri, mm ni zaidi ya kichomi

Mademu wote huwa nawaona wangu kama mswati vile, natumia uchawi na pesa kuwanasa na kuwa karibu nao. Njoo nikupe dawa uache kulialia
 
Yan ndo nafungua tu huu uzi nakutana na koment hii.. kweli nimeyakanyaga
 
Wewe unaota aisee😂
Kabisa unawaza unaweza kuninyoosha?? Labda unipe nikuzibue hiyo washeli😂

Sio najikuta, mm ni master, tapeli, dalali alafu mjanja mjanja sana. Sio najikuta January makamba tu hadi majaliwa , huko tiktok nasepa na Kijiji kila siku na nawazibua kwerikweriii. Wananiita mwamposa
Wewe utakua ulikua hujanijua vizuri, mm ni zaidi ya kichomi

Mademu wote huwa nawaona wangu kama mswati vile, natumia uchawi na pesa kuwanasa na kuwa karibu nao. Njoo nikupe dawa uache kulialia
Mipasho 🤣
 
Aisee kumbe mshahara wa dc ni mrefu...
 
Back
Top Bottom