Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
๐๐๐ Unakubali watu fake ukinyonywa damu??Kwa nini haukubali sasa?๐
We huogopi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐ Unakubali watu fake ukinyonywa damu??Kwa nini haukubali sasa?๐
Hapo ndio unaninyoosha?๐๐Hakubali ndio maana anajikuta mh dc... Hana kila kitu... Angekuwa ni jamaa angeingia na gia ye ni Majaliwa...
๐Tangulia nitakukutaDoh! Kumbe mtoto wa mzee wa kanisa? Basi rejea mathayo 2:30-35 ephen mm nimekuelewa! Twende wote peponi
๐๐๐ Acha bhasiAh wapi? Kuna mchizi mpaka anaapia kabisa kwamba hajwahi ona pis kali kama wew afrika mashariki na kati hii.. mm mpaka najisemea diamond platinum simba la masimba dangote linkwwama wapi kutia hela
Hakuna watu fake bhana ,ni watu tu wakawaida , mbona mimi nimejifinya kabisa nasikia maumivu? Sio fake bhana.๐๐๐ Unakubali watu fake ukinyonywa damu??
We huogopi?
Pesa ninayo๐Mchana mwema...
Kujibizana na mtu hana mbele wala nyuma ni upotevu wa muda.
dollars๐Ehhh.!! ๐๐
Na mtindi nao upo, kingine?
Ukipotea je? Utajua mm nitakuwa pepo namba ngapi? Usifanye hivyo au mpka nilie? Ihihihhiiiiii ๐ฅฒ๐Tangulia nitakukuta
๐๐๐ Mi hapa hakuna hata mmoja ninayemfahamu na anayenifahamu.!!Hakuna watu fake bhana ,ni watu tu wakawaida , mbona mimi nimejifinya kabisa nasikia maumivu? Sio fake bhana.
Huna chochote mzee!!Pesa ninayo๐
Nilivyokuambia mm ni maskini nilikuingiza tu chaka. Pesa ninazo za ndumba๐
Home wapi? Arusha au?๐๐๐ Acha bhasi
Hii naisikia kwako, shem mi inawezekana ndio pisi mbovu haijawahi kutokeaโฆ
Sema najikubali mpk najikubali tena.!!
Nimekuambia natumia ndumba, nayo hutaki?Huna chochote mzee!!
Halafu ile pic wala sikuwa na lengo la watu wajadili dollar ila shobo za waja na chuki zao ๐๐๐dollars๐
Mwanzoni kabisa sikujua kama kuna hitajika ku fake niliweka picha yangu kabisa ๐๐ mwisho wa siku ukiwa roma ishi kama waroma.๐๐๐ Mi hapa hakuna hata mmoja ninayemfahamu na anayenifahamu.!!
Nikiingia JF nakutana na fake pipo
Uhalisia upo kwenye ulimwengu wangu wa huku nilipo.!!
Mtag mkuu nijarib zali mana nishachoka kupanda mnazi na jua kali hiliwewe anakufaa sweetcandy
huko zenji unakosa mali?Mtag mkuu nijarib zali mana nishachoka kupanda mnazi na jua kali hili
Njombe mi kingaโsHome wapi? Arusha au?
Wee ndio ulijimix humu hutakiwi kujulikana, tunaishi kimafia ๐๐๐Mwanzoni kabisa sikujua kama kuna hitajika ku fake niliweka picha yangu kabisa ๐๐ mwisho wa siku ukiwa roma ishi kama waroma.
ningekuwa na mihela nisingeulizwa maswali hiviHalafu ile pic wala sikuwa na lengo la watu wajadili dollar ila shobo za waja na chuki zao ๐๐๐
Pesa sina ile pic ya kawaida isikutishe.!
Eehh kingine?