Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Wana Chit Chat!!!
Huu uzi unawekwa hapa kwa malengo mazuri tu kama vile;

1.Kuepusha kuharibu nyuzi nyingine!! Inatokea mara nyingi sana hapa jukwaani,
mistari inashushwa sehemu yoyote ile so kunakuwa na mwingiliano wa mada.
Kama kuna uliyempenda kutoka jukwaa lolote lile mlete hapa umwambie.

Kwa hiyo kupitia huu uzi hapa ambao ni maalumu wa kuelezana yale ya moyoni, utaeleza hisia zako na kumtaja mhusika wako na ikionekana unahitaji msaada utasaidiwa kuna wataalamu hapa
Tuko jiandae kusaidia watu hapa.

2. Kutengeneza couples zaidi ndani ya jukwaa. 2014, zitawaondolea wengi stress!!

3. Kumaliza malalamiko kwa wageni na wale wote walioko single,
mara nyingi kumekuwako na malalamiko kutoka kwa jinsia zote juu ya kuwa single
mh! aisee..naona huu mwaka ni wa malovee
 
Last edited by a moderator:

njoo PM nikuelekeze jinsi ya kuquote hapa hadharani wife ataleta shida...
 
I'm here beiby,

ooooh my loveeeee

1lovings.jpg
 
Wana Chit Chat!!!
Huu uzi unawekwa hapa kwa malengo mazuri tu kama vile;

1.Kuepusha kuharibu nyuzi nyingine!! Inatokea mara nyingi sana hapa jukwaani,
mistari inashushwa sehemu yoyote ile so kunakuwa na mwingiliano wa mada.
Kama kuna uliyempenda kutoka jukwaa lolote lile mlete hapa umwambie.

Kwa hiyo kupitia huu uzi hapa ambao ni maalumu wa kuelezana yale ya moyoni, utaeleza hisia zako na kumtaja mhusika wako na ikionekana unahitaji msaada utasaidiwa kuna wataalamu hapa
Tuko jiandae kusaidia watu hapa.

2. Kutengeneza couples zaidi ndani ya jukwaa. 2014, zitawaondolea wengi stress!!

3. Kumaliza malalamiko kwa wageni na wale wote walioko single,
mara nyingi kumekuwako na malalamiko kutoka kwa jinsia zote juu ya kuwa single
mh! aisee..naona huu mwaka ni wa malovee

Yani usiwe na wasi wasi Eshy... Huu mwaka kwa spidi ya risasi tutahakikisha kuwa pepo la u-single linamuacha kila mwana chit chat...
 
Back
Top Bottom