Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana Chit Chat!!!
Huu uzi unawekwa hapa kwa malengo mazuri tu kama vile;
1.Kuepusha kuharibu nyuzi nyingine!! Inatokea mara nyingi sana hapa jukwaani,
mistari inashushwa sehemu yoyote ile so kunakuwa na mwingiliano wa mada.
Kama kuna uliyempenda kutoka jukwaa lolote lile mlete hapa umwambie.
Kwa hiyo kupitia huu uzi hapa ambao ni maalumu wa kuelezana yale ya moyoni, utaeleza hisia zako na kumtaja mhusika wako na ikionekana unahitaji msaada utasaidiwa kuna wataalamu hapa
Tuko jiandae kusaidia watu hapa.
2. Kutengeneza couples zaidi ndani ya jukwaa. 2014, zitawaondolea wengi stress!!
3. Kumaliza malalamiko kwa wageni na wale wote walioko single,
mara nyingi kumekuwako na malalamiko kutoka kwa jinsia zote juu ya kuwa single
mh! aisee..naona huu mwaka ni wa malovee
mi nilishakamilisha kwa my 'Valentina', mtu asijaribu tena pale...
Don't wory honey,no one will take u'r place in my heart!
naona kama vile sikumtongoza my 'Valentina' vizuri.. njoo huku mpenzi wangu tuudhihirishie umma!!
Wana Chit Chat!!!
Huu uzi unawekwa hapa kwa malengo mazuri tu kama vile;
1.Kuepusha kuharibu nyuzi nyingine!! Inatokea mara nyingi sana hapa jukwaani,
mistari inashushwa sehemu yoyote ile so kunakuwa na mwingiliano wa mada.
Kama kuna uliyempenda kutoka jukwaa lolote lile mlete hapa umwambie.
Kwa hiyo kupitia huu uzi hapa ambao ni maalumu wa kuelezana yale ya moyoni, utaeleza hisia zako na kumtaja mhusika wako na ikionekana unahitaji msaada utasaidiwa kuna wataalamu hapa
Tuko jiandae kusaidia watu hapa.
2. Kutengeneza couples zaidi ndani ya jukwaa. 2014, zitawaondolea wengi stress!!
3. Kumaliza malalamiko kwa wageni na wale wote walioko single,
mara nyingi kumekuwako na malalamiko kutoka kwa jinsia zote juu ya kuwa single
mh! aisee..naona huu mwaka ni wa malovee
njoo PM nikuelekeze jinsi ya kuquote hapa hadharani wife ataleta shida...
nimependa nywele zako ujue
Nikilala nakuota mpenzi wangu.
Nalog off
my sweetyheart mwaka huu lazma nikununulie Gari...
Yamekua hayo tena!
Acha kumpa moyo negative
njoo PM nikuelekeze jinsi ya kuquote hapa hadharani wife ataleta shida...
Ole wako nakwambia
hivi kumbe huyo dada ni sister wa kanisani?
Darling! Mi staki gari
Haswaaa
Wana Chit Chat!!!
Huu uzi unawekwa hapa kwa malengo mazuri tu kama vile;
1.Kuepusha kuharibu nyuzi nyingine!! Inatokea mara nyingi sana hapa jukwaani,
mistari inashushwa sehemu yoyote ile so kunakuwa na mwingiliano wa mada.
Kama kuna uliyempenda kutoka jukwaa lolote lile mlete hapa umwambie.
Kwa hiyo kupitia huu uzi hapa ambao ni maalumu wa kuelezana yale ya moyoni, utaeleza hisia zako na kumtaja mhusika wako na ikionekana unahitaji msaada utasaidiwa kuna wataalamu hapa
Tuko jiandae kusaidia watu hapa.
2. Kutengeneza couples zaidi ndani ya jukwaa. 2014, zitawaondolea wengi stress!!
3. Kumaliza malalamiko kwa wageni na wale wote walioko single,
mara nyingi kumekuwako na malalamiko kutoka kwa jinsia zote juu ya kuwa single
mh! aisee..naona huu mwaka ni wa malovee
Yani usiwe na wasi wasi Eshy... Huu mwaka kwa spidi ya risasi tutahakikisha kuwa pepo la u-single linamuacha kila mwana chit chat...
ooooh my loveeeee
![]()
Ole wako nakwambia
my wife, usikasirike