Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
acha hizo,halafu hiyo avatar yako naona msisimko unanitokea kuanzia miguuni mpaka ubongo
Umesema huo msisimko adi umeniambukiza. Mi nasisimka zaidi kwenye kope
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha hizo,halafu hiyo avatar yako naona msisimko unanitokea kuanzia miguuni mpaka ubongo
bado cjajaaliwa
anyone here tutotongozane!!!!
Umesema huo msisimko adi umeniambukiza. Mi nasisimka zaidi kwenye kope
miss you too jamani!!halafu mbona hupatikani?
Za mie ni njema kabisa
mbona sijapata ujumbe wowote my dia!Mi nakuona upo off tu saa zote!Kwani hujabadili kitu?naku-text kila siku kule hujibu nikaona ninyamaze tu,ila sema kweli nakumiss sana
naomba kumjua mmeo.
show me how to dance ngololo,ngololo,ngololo
Ni vizuri uanze kuogopa mapema
Jerrymsigwa hamkumalizana?
Ningekuwa single ningekudondoshea vocal zangu...
Na lazma ningekulegeza kama Jawilat alivyolegezwa na Tuko
Woow...u'r back!!
huwa nikiona sura yako nahisi kama niliupoteza ubavu wangu JF
Basi usinikasirishe my husband
i love u na wewe usikubali kutongozwa na watu wengine
usijali, sali vizuri pengine nikabisha hodi muda si muda
uuuh,nimejikuta navibrate,naanza kukupenda mpaka kichwa kinatingisha
Bwana huyo huyo ndiyo atakuletea wa moyoni...
Haswaa... huyo ndiye. Tupo tinafanya tu finishing but imeshakuwa rasmi sasa...
wish u lucky...i hope hapo hujapotea njia
pole,nitakupa kampani utampata