Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
hahahahaha ww apo
Anza basi kushusha hizo mistari itakayonishawishi nikukubali...enhe lete maneno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaha ww apo
hahahahaha ww apo
Kwani unamwogopa nani?
kwani angaza wanapima mimba??
Anza basi kushusha hizo mistari itakayonishawishi nikukubali...nakusikiliza kwa shauku
kuna MTU humu kashantishia maisha nakuogopaje sahz
kuna MTU humu kashantishia maisha nakuogopaje sahz
Kama unamiliki bunduki hata usiogope siku hizi dili kufyatuana
Kama unamiliki bunduki hata usiogope siku hizi dili kufyatuana
Usiniogope mi sina mapembe jamani
farkhina nae ndugu yangu kabisa,binamu yangu
Kuna mtu anaitwa Price ni mgeni kabisa embu muwahi kabla hajawahiwa asee
hata bunduki siifaham ipoje zaid ya kuona kwenye movie tu ila nataman kumiliki ntakuja kupata short course kwako Honey Faith
We sio mtu mzuri aise