Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Kule nako sipo.. ilikuwa ya mkopo ile.. niko mtoni kwa mchambawima.. unapajua..?
Huko sipajui .....
Ngoja nifanye ujasusi wangu nitapajua tu ....!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule nako sipo.. ilikuwa ya mkopo ile.. niko mtoni kwa mchambawima.. unapajua..?
Huko sipajui .....
Ngoja nifanye ujasusi wangu nitapajua tu ....!!!!!!
Ukirusha hilo kombora lako huku utasambaratisha vjumba vya udongo vya wadanganyika wengine huku.. Akina za akina bi nyakikoti.. mzee Nyangalilo.. mzee Ndombekwa.. bi Kinchembe na mjumbe wangu mzee Mtambo..
ya kweli hayooo??
Mbona jina la kiume?
huyu ni ke
OMG...!!!! Haaa haaaa haaa!!! guys , you are so funny
Any time unakaribishwa
wapi nimiliki....?
Eti binamutz anatafuta wife huku cc amechoshwa na upweke anaomba uwe mkewe. Anaahidi kukupenda bila kupita kiasi tafadhali mkabidhi moyo wako