mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
Npo single lakini tuyamalize hapahapa kama yalivyoanzishwa hapa.
hahahaha basi sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Npo single lakini tuyamalize hapahapa kama yalivyoanzishwa hapa.
Kama unakuja kwa siri basi usije nyumbani....tuwasiliane tukutane wapi eehana wivu huyo mi ntakuja kwa siri tu hata simuombi tena maana naona nikiomba nanyimwa
Kama unakuja kwa siri basi usije nyumbani....tuwasiliane tukutane wapi eeh
Unajua tena kubadili menu muhimu...!
Hahahahaaa sasa mbona unaanza kuharibu tongozo langu?Tatizo aliyenikaribisha ni mkeo Chocs si wewe so mi nitakuja kwa choca iwe bahati tu kukukuta.
Afu mi sikutanagi vichochoroni kama huna kwako andika umeumia
Na hii menu nilonayo imekava kote kila nnachokiitaji kipo humu
Bby niko najikumbusha kama bado najua kutongoza....Bby please..
Bby niko najikumbusha kama bado najua kutongoza....
Napasha domo tu lisijekuwa Domo zege bure....!
Love you so much sweetie
Bby niko najikumbusha kama bado najua kutongoza....
Napasha domo tu lisijekuwa Domo zege bure....!
Love you so much sweetie
Unapotezea ee ngoja nitarudi na mr natoka kidogo
Mi sijakuruhusu lakini na nikikumata vitu vyangu vitamu sikupi tena ng'ooo......staki preshaaa tarudi kwetu ohoooo!
kweli....?