Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Naona hana mpango huyo mpotezee..he can't even sacrifice.
Nakweli...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona hana mpango huyo mpotezee..he can't even sacrifice.
Ila wa kutaka mimi niwe wako wakati wewe ni mke wa mtu siyo mtihani eeee!Huo mtihani sasa
Ila wa kutaka mimi niwe wako wakati wewe ni mke wa mtu siyo mtihani eeee!
Aanhaaa kumbe unapenda vya gizani eeee nitamuita u...........Ssssshhh!! Ongea taratibu basi
Mmmmh!Jamani jamani,,,haya mapenzi yanazidi kasi yamoyo. Ebu wewe unaejijua ndie dokta wangu jitokeze haraka apa maana nilivokumiss nahis roho inataka kupaa
Aanhaaa kumbe unapenda vya gizani eeee nitamuita u...........
Jamani jamani,,,haya mapenzi yanazidi kasi yamoyo. Ebu wewe unaejijua ndie dokta wangu jitokeze haraka apa maana nilivokumiss nahis roho inataka kupaa
Bahati yako nimekuonea huruma naona unatweta njoo basi niku......Mezeaaaa
heeeeee
Bahati yako nimekuonea huruma naona unatweta njoo basi niku......
we hujui nina wvu?? au unataka nianzishe bifu na watu wanaokuzengea???
Nikupetipeti.....usiropoke sasa watasikiaMalizia,,unifanyaje?
Huo wivu ndo kitu gani tena?
Hayo ndo nilikuwa siyataki.................