Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,874
- 5,685
Nawasubiria hapa.
Mimi nimeshafika kuu naomba umuite mkeo Aje basi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawasubiria hapa.
Rich! Rich!!
chagua tu demu mwingine penzi nililopewa jana na shansarie sitadhubutu kabisa kumwacha.
She is my every thing!! Utamu wa jana hakuna ninakoweza kuupata.
Tafuta mke uoe wewe
Mkuu kitu kizuri kula na nduguyo, hatuwezi kupeleke mapendekezo yetu ktk tume ya katiba iwe ruksa mke mmoja kuolewa na wanaume wawili uniokoe ndugu yako maana nishapenda tayari.
Akili hainipi kabisa yaani...
Najitolea kitita chochote kile hebu tafuta tu mwingine
Niko tayari kukusaidia kushawishi kwa nguvu zangu zote.
Ili moyo wako uwe mbali.
Hahaaaaa
Amesafiri Jana nimemuona airport kwani huna taarifa? Alikuwa na bint mmoja. Kwani hajakuaga?
Aise usitake moyo wang ukabasti jamani
Alienikabidhi mimi kwako.
Am going to hang up myself
Naruhusiwa kutoa baraka zangu hapa kwenye hii kauli?