Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Yupo lakini? Kama Yuko mbali au anaringa tufanye mapinduzi.
Natafuta kidumu au jenereta hahahaaa. Mwenyewe yupo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo lakini? Kama Yuko mbali au anaringa tufanye mapinduzi.
Natafuta kidumu au jenereta hahahaaa. Mwenyewe yupo
Basi mimi nipo hapa! Ila najua kupenda usishangae ukampotezea kabisa, hutajuta kwangu.
Hana ubavu wakunikimbia tulienda dinner tupo home saizi twapumzika
Ndio hapo uonyeshe huko kupenda mpaka nichanganyikiwe kabisa nimpotezee.
Yaani natamani nije sasa hivi nikutoe, nikuambie maneno mazuri, huku tunakunya wine ktk mwanga hafifu na mezani kwetu kuna UA jekundu linanukia, huku nakuangalia ktk sura yako ulivyo mrembo.
Eeenheee
Ukiinamisha sura kwa aibu nakuchezea chezea nywele, na kukuambia mipango yetu kabla na baada ya kuoana, mpaka walio jirani na meza yetu wapate wivu.
Unaanza kupass test taratibu.
Nikiwa na wewe wala sita Zima simu yangu au kuiacha silent! Nitakupa na password zote, utakuwa na access zote za kwangu, ila Nina wivu sana japo siwezi kuthubutu hata kukupiga kofi.
Wow wewe ndio mzuri sasa. Inabidi sifa za ziada unipm okay bebito.
Nakupenda sana yaani nakuahidi nitakutoa machozi ila siyo ya huzuni bali ya furaha, welcome to my world.
Ila sasa ukumbuke nimeolewa atii. mmmh sasa sijui itakuaje?
Hivyo hivyo tu, tutajua mbele ila nitakulinda, sita kupigia simu ukiwa nae kwani akikupiga nitashindwa kuvumilia honey, haya utani save vipi ktk simu yako?
Nimeolewa humu ujue. Ana wivu mume wangu, naye ananipenda sasa nani zaidi ndio hapo.
Najua ila namimi ndiyo nishakupenda hivyo, sitakuacha peke yako mpaka muda kama huu, tutakuwa kama mapacha, plz nipe nafasi nikupe mapenzi yangu.
Kesho kigiza kikiingia nitakujibu. Mume wangu wiki yote hiyo inayokuja atakuwa busy sana.
Basi powa! Itakuwa vizuri! Ila namba yangu usiisave MCHORA. KUCHA nikigundua nitalia sana.
Powa usiku mwema. Nitasave jina zuri tu la kiume hata hilohilo lako huwa hashiki simu yangu, ananiamini sana.