Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Hee shogaa,mumeo hayupo?
Shostito mume kasafiri, hii baridi itaniua.
Hee naona dawa za uran zinavyofanya kazi, mtoto huoni husikii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hee shogaa,mumeo hayupo?
Bhoshi bhakukulamka sebho........;
Then wewe unanifahamu sana tu/tufahamiane!
Potezea endelea na ishu zako, forums huwa ziko that way,
Ndio maana zipo nyingi ukinuna huku kule wacheka................!
Hiyo ndoa ulinifungisha wapi?
Shostito mume kasafiri, hii baridi itaniua.
Hee naona dawa za uran zinavyofanya kazi, mtoto huoni husikii.
Shostito mume kasafiri, hii baridi itaniua.
Hee naona dawa za uran zinavyofanya kazi, mtoto huoni husikii.
mapenzi yangu matamu sana
Mwaaaaaaahh honey
mapenzi yangu matamu sana
We acha tu,sijui kanilisha kizizi gan huyu mwanaume
Nayaona shemeji yangu. Mtoto kishafika hatoki kamwe. Kila la kheri nawaombea mpendane daima.
Ndio mapenzi hayo. Si mzizi si hirizi, umemridhi.
Shostito mume kasafiri, hii baridi itaniua.
Hee naona dawa za uran zinavyofanya kazi, mtoto huoni husikii.
Naomba uje home tuongee kidogo.
Mimi ndio nikufuate?? pole niko sehemu nimepumzika zangu na friend of mine.
Jana nimekuona KFC na mtu nikapata mshtuka, hivi Niko home naumwa plz wewe ndiyo dawa yangu, bila wewe am finished, naomba nikutumie driver akufuate.
Siwezi ngoja nikuitie honey faith au a.rahabu watakuponya.
unakimbia majukumu asee
Siwezi ngoja nikuitie honey faith au a.rahabu watakuponya.
unakimbia majukumu asee