Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Kuna mtu nammiss sana, nawezaje kuishi hivi?
Hata nilivyofanya ni kwasababu nakumiss ujue. Najua uko busy sana sana ila ujue tu ni jinsi gani nakumiss my honey.

Asante malkia wangu Bantu lady,nimekumiss pia barafu wangu!Ubusy ni wa muda tu queen wangu,mi ni wako peke yako!Nakupenda,mmmwaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Asante malkia wangu Bantu lady,nimekumiss pia barafu wangu!Ubusy ni wa muda tu queen wangu,mi ni wako peke yako!Nakupenda,mmmwaaaa!

Nakupenda pia mume wangu, umeona mabazazi wanavyonizengea? Nikikwambia kitu wewe wanafikiria ni wao. Nakupenda najua now ni huo ubusy tu, ukiisha nitaenjoy tena. Pia pole sana nakuonea huruma kipindi hiki na utapungua sana.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa kishanicall angalau nimepata tabasamu. Mpango wa jenereta nimelisimamisha kwanza, ilibaki kidogo nimuue kwa presha mume wangu. Hakuamini kama nimimi ndio nasema vile.

Uko powa shost wa miye? kimya sana luv

Niko poa shostito,ni vijimambo mambo tuuuu
 
Leo hatuhemi humu mume mtu karudi.....Lol

Hahahahaa nakupendaje Honey faith jamani, umepotea ghafla.
Mtahema tu wala si mkaaji huyu mpaka next week ndio mjitayarishe hamtakunywa wala kula. Nitawaonea huruma mpumue tu.
 
Ndio umeshapigwa tayari.

Usinifanyie hivyo mwenzio, Nina NIA njema tu kwako kwanini unilipe kwa ubaya? Nionee huruma, nitanunua kucha za rangi na vifaa vingine, nikija kwako najifanya nsafisha kucha na miguu
 
Nakupenda pia mume wangu, umeona mabazazi wanavyonizengea? Nikikwambia kitu wewe wanafikiria ni wao. Nakupenda najua now ni huo ubusy tu, ukiisha nitaenjoy tena. Pia pole sana nakuonea huruma kipindi hiki na utapungua sana.

Asante kipenzi changu,nawaona,dawa yao iko jikoni inachemka!
 
Back
Top Bottom