Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
Angelicious mke wangu njoo umsalimie shemeji yako huku mamaHongera sana mkuu, muite basi shemeji yangu unitambulishe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angelicious mke wangu njoo umsalimie shemeji yako huku mamaHongera sana mkuu, muite basi shemeji yangu unitambulishe.
Mtoto yuko vizur si unaona shape la maana hilo,usimuace mtoto huyoHuyu Mtoto anaelekea Yuko vizuri sana! Ngoja nikomae nae
Mtoto yuko vizur si unaona shape la maana hilo,usimuace mtoto huyo
Mtoto mzuri kama wewe unatakiwa uwe katika mikono salama, nakuahidi kwangu hutajuta, jisikie mwenye bahati bibie achana na kelele sogea nikupe raha maisha menyewe mafupi
Huyu Mtoto anaelekea Yuko vizuri sana! Ngoja nikomae nae
ahsante besti.. nshapunguza michepuko na matawi... lakini dah..!
miss you sweetheart...!
please take this.. i love you so much!!
![]()
mamii vipi? haujambo lakini?
miss you sweetheart...!
please take this.. i love you so much!!
![]()
thank you so much my king
Duh!bado mnatongozana tuuu!!"""
mamii vipi? haujambo lakini?
sijambo mfalme wa moyo wangu niambie baba how was your day
dah nin tena??
sijambo mfalme wa moyo wangu niambie baba how was your day
mamii mie mzima sana.. kwa kweli najua mizunguko yako bebito.. pole sana .. next time ntakubadilishia aina ya usafiri.. dont worrry!
mamii mie mzima sana.. kwa kweli najua mizunguko yako bebito.. pole sana .. next time ntakubadilishia aina ya usafiri.. dont worrry!
umeona eeeeeh nishachoka kutembelea guta nataka ka vitz tu
umeona eeeeeh nishachoka kutembelea guta nataka ka vitz tu
aaah! come on.. vitz ya nini tena ndogo hivyo? gari gani lile ukiingia bondeni unaumia?
let me check a car that deserve a queen... you are beautiful my dear..!
aaah! come on.. vitz ya nini tena ndogo hivyo? gari gani lile ukiingia bondeni unaumia?
let me check a car that deserve a queen... you are beautiful my dear..!
ohooooo taratibu king Excel anzia chini na kavitz kwanza si wawajua wana cc wasije sema wauza sembe china