Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Eli79 come here meen! U nd to gat me better hahah! In mchombezo voice! Afu Excel kaa mbal na mim! Usiinglie anga zangu ntakutungua ka mindege ya marekan, pakstan

hivi mi si ndiyo nilikuanza lakini?
nakumbuka kamlio kako we acha tu...
 
Excel! Excel umeshalala? Ebu toroka kwa mkeo ukuje hapa alah! Miss neddy..my foot! Hahah

hahahahaha tabia ya kumvizia king saa tano za usiku ife binti azawise
kuna kimbunga kitakupeperushia mbali
 
hahahahaha tabia ya kumvizia king saa tano za usiku ife binti azawise
kuna kimbunga kitakupeperushia mbali
lazma aviziwe tuh! Kama mke wake huko buzy!waacha na siye tuchombeze na alivo mtamu kama haluwa ya tanga!..hehehe! King, et king, king my foot!..
 
lazma aviziwe tuh! Kama mke wake huko buzy!waacha na siye tuchombeze na alivo mtamu kama haluwa ya tanga!..hehehe! King, et king, king my foot!..

hahahahaha umeona unavyopenda kulamba vya wenzio
weka katangazo upate wako humu humu
azawise utashia kuwa mchepuko
 
Vitu vya kawaida hivyo! Ila mbona unaharaka sana? Ulitakiwa uniambie hivyo ukiwa na khanga moja umetoka kuoga, kisha unaniomba huku unarembua macho! Usijari njoo basi home umaanishe unachokisema, love u more.

hapa yenyewe nimevaa nite dress
ya kimitego,mbele ya mkoko acha kabisa!!
 
Back
Top Bottom