Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

rich pol kale kamwanaume cha jana usiku ullikatoa apii? au ID yako ya piliii jamani

Hapana kalinivamia tu kakawa kanasikiriza tunachoongea! Ila nikagundua ni rasta halafu hana hela, siyo yule niliekuwa nakupa sifa zake Jana.
 
ndio mie nilimshtukia nkajua tu pangu pakavu tia mchuzi!!maana alikuja na zile swaga za kina mariooo!khaaa nikabidi nilale mie asije nifanya nkaota ndoto za ajabu!next tym uwe unaangaliaga bana na watu wakunisakisia la sivyo wataendelea kula cha mbavuuu!hahahah
 
mjini ninao kama wanne, kila mmoja nimemfanyia family planning ya watoto wanne wanne! safi kabisa!

kama arushaone kaanza kukusanya wanawe, kwaniini mimi nitupe wangu? ujana nauendeleza vyema kabisa!
dah bora hata cjakuepo kwenye least maana jaman nilivyo na wivu ningewamaliza wake wenza i hate mitara!!
 
ndio mie nilimshtukia nkajua tu pangu pakavu tia mchuzi!!maana alikuja na zile swaga za kina mariooo!khaaa nikabidi nilale mie asije nifanya nkaota ndoto za ajabu!next tym uwe unaangaliaga bana na watu wakunisakisia la sivyo wataendelea kula cha mbavuuu!hahahah

Halafu hawezi kutongoza akawa anatafuta sababu, eti huwezi mapenzi ya ki babiloony sijui ndiyo mapenzi gani?
 
hahaha si yale mapenzi ya msoto ya shida na raha ambayo joh makini kwenye nje ya box,, hamtaki dizaini ya huyo mwanamke wa misoto! alafu alikua ana mpango wa kunivutisha weed! dah noumer sana!
 
Haah! Haaah! Nooumer sana! Sasa charty uko single si utakuwa na ukame sana?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom