Rogie
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 7,586
- 6,697
Jamaa!! Ushawahi kusoma Riwaya picha inaitwa Anga za Wenyewe?? Cheza mbali na Honey Faith.
Ahsante sana Excel
Sent from my iPhone using JamiiForums
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa!! Ushawahi kusoma Riwaya picha inaitwa Anga za Wenyewe?? Cheza mbali na Honey Faith.
Ahsante sana Excel
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kweli ng'ombe wa masikini hazai duh. Rich Pol best kulikoni tena mbona kama sielewi hapa kinachoendelea.
Tuliza akili tuna mechi leo huko Cairo, nguvu zote tuelekeze huko.
Kama Honey Faith mwenyewe akikiri ana mume, basi hiyo kazi niachie mimi nitakutafutia mke.
CC: Rich Pol, Daudi1, Honey Faith.
Du!!! Tangu lini?
Sikupanga kunywa leo! Naenda zangu Samaki Samaki nikajichanganye! Asante sana Bantu lady kwa kunipa moyo.
Hehee unalo hilo
Acha hizo bhana, mbona ya kawaida. Hebu mcheck Daudi1 akwambie kipindi chetu mimi,yeye na sungura1980 ilikuaje. But Daudi1 nampongeza sn alikuwa mjasiri na leo ana mke. Hakuna kukata tamaa, kwanza hujamsikia Honey faith anasemaje kwa huyu mume aliyejitokeza.
Sikupanga kunywa leo! Naenda zangu Samaki Samaki nikajichanganye! Asante sana Bantu lady kwa kunipa moyo.
kuna pepo linakuandama..
just wait, many to come
Ngoja nikatulize hakiri yangu kisha nitarudi kwako.
Umebug meen
asante sana kiongozi michakato mingi