Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,874
- 5,685
Ngoja udanganywe siku hizi mtu ni kubembelezwa
Honey umekuja mpenzi wangu?!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja udanganywe siku hizi mtu ni kubembelezwa
Nini tena mumie?
Joto hasira ya hotuba ya leo honey wangu.
Abeeeeeh
My hubby uko wapi? nataka kupasuka kwa hasira huku.
Mie hata sikuiangalia maana mie na siasa ni chui na paka
Habari gani Excel sungura1980 uran Bantu lady nimeona nije huku kwenu kupumzisha ubongo baada ya kumsikiliza mzee yusuph kwa muda mrefu hapa bungeni akanichosha kwa mipasho yake!
Poleni na majukumu kwa ujumla wenu!
tuko pamoja.. sijui kwanini hatuzipendi siasa?
Asante mkuu Kibo10,pole na wewe,duhh we acha tu,tumeboreka wengi!Hapa Bantu lady kakasirika anataka kupasuka!
Polee Sweet,hizo hasira njoo tuzimalize kwa mabusu na ilee chakula ya usiku!
Mie hata sikuiangalia maana mie na siasa ni chui na paka
Kwa hiyo lengo kubwa ni kuwa WazawaMwanakijiji,
Tunaweza kutafsiri hii issue kwa njia yeyote ile lakini ukweli utabaki kwamba UWAZA ndio njia pekee ambayo inaweza kumkomboa mwafrica. Swala la rangi limetumika CCM kutaka kuondoa maana kamili ya neno hili. Na kibaya zaidi ni kwamba walitumia neno weusi kuondoa uzito wa hoja nzima lakini mzawa ni yule mwenye asili ya sehemu hiyo tukiondoa kabila yake. Pwani na Dar-es Salaam kuna hesabu kubwa ya Wa manyema walizaliwa pale.
Salim anayo kila haki ya kujiita mzawa wa Pemba kama atakavyokuwa na haki mwarabu mwingine wa Singida, ama Idd Simba, Sykes na wengine waliokuja nchi kabla ya kupata uhuru wetu.
Swala la Marekani na ubaguzi halina usawa na kabisa na Uzawa wala hilo la South Afrika kwa sababu Muingereza pamoja weupe wake hana haki Marekani kama mweusi kisheria. Na wapo waingereza kibao wamerudishwa Uingereza kwa sababu hawana sheria ya kuhamia nchi hiyo.
Hakuna mtu ama kampuni ya nje inayoruhusiwa kuwekesha Marekani ktk mradi mkubwa kwa aslimia zaidi ya ishirini bila kibali maalum ambacho kinamfunga mgeni huyo bila kujali rangi ama kabila yake.
Je, Uzawa ni ubaguzi?... yes naweza kukubali na wewe, so is kuwa na mipaka kati ya nchi mbili, lugha tofauti kati ya mataifa. Kuwepo kwa passport, na vilevile kuorodhesha vyama vinavyohusu gender n.k.
Yote haya yanategemea na jinsi tunavyotaka kutafsiri Uzawa. Tunaweza kuwaita waarabu wa Egypt kuwa waafrika kwa sababu ya Uzawa ama tukawaita waarabu kwa rangi na lugha yao kisha kuwatoa nje ya Uafrika hali kati yao kuna weusi wanaozungumza lugha moja tu nayo ni kiarabu. Na huyohuyo mwafrika mweusi kama wewe akasema yeye ni mwarabu sii mwafrika.
Lakini tukizingatia Uzawa wa- Egypt wote weusi kwa weupe, makabila kwa makabila ni wazawa wa nchi hiyo na wewe mweusi mbantu toka Tanzania ni mtu wa kuja. Huna haki ya nchi hiyo hata chembe zaidi ya kuwaona waafrika wenzako. Mbona hatupiganii hilo na miaka kwa karne zimepita?
Jamani let's make things easier for us to move forward. Haya maswala ya kuongezea maneno na tafsiri za kupotosha ndiyo yaliyosababisha binadamu tuwe wagumu kuamini imani ambazo malengo yake ni kuokoka!..
Mi naipenda sana. Ila nimejuta kuwahi kutoka na kuisikiliza, sasa acha niugulie maumivu.
Habari gani Excel sungura1980 uran Bantu lady nimeona nije huku kwenu kupumzisha ubongo baada ya kumsikiliza mzee yusuph kwa muda mrefu hapa bungeni akanichosha kwa mipasho yake!
Poleni na majukumu kwa ujumla wenu!
Asante mkuu Kibo10,pole na wewe,duhh we acha tu,tumeboreka wengi!Hapa Bantu lady kakasirika anataka kupasuka!
Pole sana jamani, tumeumia wote. Hahahaaa angalau nimecheka hilo la kumwita mzee yusuph.