Fisherscom
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 1,763
- 766
Tupo mbona?! Tena tunapatikana kwa special order....satisfaction guaranteed! sweetie stone kenda wapi?
Eti eee!
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo mbona?! Tena tunapatikana kwa special order....satisfaction guaranteed! sweetie stone kenda wapi?
Eti eee!
Ngoja nimsubiri ndege wangu....
Ukifanikisha unipe mrejesho mkuu,ni muhimu sana ktk kupata maujuzi.
Kwi kwi kwiiiiiii mmmh mbona thijachetha mimi? Unanithingizia ww ndo umechethaaaa. Bathi waambie thiendi nimegairi
Vipi mkuu,kimya? Bado mvua inanyesha au unaota jua?
Ama kweli huu ni mwaka wa malove love kama alivyosema kiwatengu pale juu.
Nafikiria kuondoka hivi....
mwenzio nishapata ubavu wangu tayariKumbe tuko wengi he heee
mwenzio nishapata ubavu wangu tayari
Unantia mashaka...
hahahaha bibieee acha kujishaua kwanza una kes ya kujiibu hahah niachiee kidogo haha kwanza nshaanza kumla ebu muulize
i mic yah too my kiburudisho cjakuona mpenz tokea usahau nani yako rum!hahaha ila nlikuhifadhia
I love u so much! Yaani kesho naomba nikupeleke show room swthrt! Asante kwa kunihifadhia! Uliniambia unataka gari gani vile?