Fisherscom
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 1,763
- 766
hapana ndugu yangu tena ndoa yetu iko kwenye hatua nzuri sana
plz usiharibu kitu chochote hapa coz naweza nisikuelewe kabisaa
Tena umuhimu wangu ndo unahitajika kipindi kama hiki mkuu. Tafadhali sana hofu zetu tuziweke kando maana umezungumzia suala la msingi sana ktk maisha....ndoa!