LIVE: Tanzania Primier League (TPL)... Simba SC dhidi ya Kagera Sugar moja kwa moja kutokea uwanja wa Uhuru, Dar es salaam.

Hapa Simba mmefeli, yaani MNA pesa na uchumi wa uhakika alafu bado timu ambayo inaishi kwa kubahatisha inawatishia amani? Kikosi kipana kiko wapi? Kinafanya nini hadi Watoto Kagera wanaingia uani Mara mbili mfululizo?
timu gani haifungwi??
 
98' Simba wanakosa nafasi ya kusawazisha dakika ya mwisho ya mchezo, na muda wowote mpira unaweza kuisha
Refa mpeni chake, kajaribu kuwabeba kwa vyovyote ila mmechemka, Katerero hatari.
 
Mna haki mcheke.. nilichopenda timu ya nyumbani imerudisha matumaini ya kubaki TPL.

Viva Biashara united
Kumbuka huyo biashara bado huna mechi naye hapa DSM. Hebu msaidie kabisa asishuke daraja ili wale wa Bweri, kyamaoje, hadi kiabakari waendelee kufaidi TPL kwa raga zao, otherwise FDL inawahusu sana, Fanya hivyo kama we mzalendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…