Wac
Wacha uoga weweYanga anaweza kupata matokeo,ila Simba haina uhakika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha uoga weweYanga anaweza kupata matokeo,ila Simba haina uhakika
Kagera anachezea sehemu iliyokauka tuukwanini unasoma hivyo wakati goli limeingia dk ya 5 mpk sasa hawajaambua kitu, pia uwanja wa simba umejaa maji maji ndo maana pila butu butu tu
Hawa kagera wana nini lakini?
timu gani haifungwi??Hapa Simba mmefeli, yaani MNA pesa na uchumi wa uhakika alafu bado timu ambayo inaishi kwa kubahatisha inawatishia amani? Kikosi kipana kiko wapi? Kinafanya nini hadi Watoto Kagera wanaingia uani Mara mbili mfululizo?
Katerero tuu, mkiijua tu, mtawamaliza, Maji kama yoooteDooooh tushalala tena hawa kagera sijui wanatupatia wapi!!
Siyo kupigwa mbele na nyuma hivi hivi wakati pesa unazo, huna njaa mkuutimu gani haifungwi??
Kumbe Mme anaogopwa hivyo na mke wake? Ahaaa kaka we're muoga sana.Yanga imefungwa Mungu mkubwa
Yaani wanaume Yanga tutembee kifua mbele, huyu mke wetu muoga kichizi, yaani Leo hata draw ikitosha kumuua kwa presha.Hata hivi si mbaya maana mechi za Yanga kupigania ubingwa zimepungua
Refa mpeni chake, kajaribu kuwabeba kwa vyovyote ila mmechemka, Katerero hatari.98' Simba wanakosa nafasi ya kusawazisha dakika ya mwisho ya mchezo, na muda wowote mpira unaweza kuisha
Tuna mziki na Singida wao wanapigania kutokushuka daraja, Azam si sana Mtibwa ni mziki mwingine
TokapaWanajua kumpiga Simba katerero safiiii,
sema mkuu
Kumbuka huyo biashara bado huna mechi naye hapa DSM. Hebu msaidie kabisa asishuke daraja ili wale wa Bweri, kyamaoje, hadi kiabakari waendelee kufaidi TPL kwa raga zao, otherwise FDL inawahusu sana, Fanya hivyo kama we mzalendo.Mna haki mcheke.. nilichopenda timu ya nyumbani imerudisha matumaini ya kubaki TPL.
Viva Biashara united
Nimecheka kwa sauti Mtani. Maana umekuwa mnyonge zaidi yangu. 😀😀😀😀
😀😀😀 nacheka tu hapa. Lol.Nawapa update za vyura wamekufa huko 💀💀💀
Sawa Mtani. 😀😀😀Yanga iondolewe kwenye list ya timu kubwa
Pole.
Swahiba sijaelewa hapa. 😀Hawa Kagera wanaizoea Sana Simba wanajitaidi kipigo Cha mbwa Koko kufuta hii tabia
Mtani mmefikia huku. LolTawire
😂😂😂 Hivyo Mtani ukawa waombea tuwe sawa.Yanga imefungwa Mungu mkubwa