Mechi na mtibwa na Singida Zana akicheza hatutoboiNgoma ishalala!!tuwe wapole tu.
Yanga imefungwa Mungu mkubwaNgoma ishalala!!tuwe wapole tu.
Hata Manula,hivi kocha huwa hasomi maoni yetu?Mechi na mtibwa na Singida Zana akicheza hatutoboi
Nilishasemaga kwa ligi kuu tangu simba atoke club bingwa zana akianza ngumu kutoboaHata Manula,hivi kocha huwa hasomi maoni yetu?
Hata sielewi aiseee! Mechi iliyopita na Kagera aliweka kikosi cha ushindi na bado akapigwa Dennis kitambi ni mzoefu wa hii ligi sijui anafanya kazi gani kumwezesha mwalimu Patrick kutoa mbinu za kuisurubu Kagera.Hata Manula,hivi kocha huwa hasomi maoni yetu?
Hata hivi si mbaya maana mechi za Yanga kupigania ubingwa zimepunguaKwa matokeo haya ya Yanga tungetoboa ingekuwa poa sana